Igunga news
  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Friday, 6 March 2015

SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra.

By nassor amour 08:38   No comments


http://reporter03.blogspot.com/
Vyombo vya habari vya Serikali ya Syria vimesema jeshi limemuua kamanda wa kijeshi kutoka kundi la waasi lenye uhusiano na Al Qaeda, la Nusra Front.

Taarifa zinasema aliuawa katika mji wa Idlib ambapo viongozi wa Nusra Front walikuwa wanakutana.

Nusra front ni moja kati ya makundi yenye nguvu yanayopambana ili kumuangusha Rais wa Syria, Bashar Al Assad, kundi hilo pia lilihusika na shambulizi mjini Aleppo.

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria ameweka wazi nia yake ya kufanya mazungumzo na Nusra Front ikiwa sehemu ya jitihada za kurejesha utulivu mjini Aleppo.
Read More
← Newer Posts Older Posts → Home

Social Profiles

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail
  • Popular
  • Tags
  • Blog Archives
  • MBUNGE WA MANONGA AMETOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO
    Mashindano ya UMISETA NA UMITASHUMITA nchini yakitazamiwa kuanza  hivi karibuni kitaifa, kiwilaya na kimkoa, Mbunge wa jimbo la Man...
  • (no title)
      Taarifa Ya Wizara Ya Afya Kuhusu Ugonjwa Wa Ebola Kuingia Tanzania Zijue Na Dalili Zake {2014} Wahudumu wa afya wakimsaidia mgonjwa...
  • UPANUZI WA MASAFA YA USIKIVU WA TBC,KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA KISARAWE
    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maende...
  • MABINGWA MARA MBILI MFULULIZO WA KOMBE LA TASWA WAPIGWA MVUA YA MABAO LEO
    MABINGWA MARA MBILI MFULULIZO WA KOMBE LA       TASWA WAPIGWA MVUA YA MABAO LEO Mabingwa wa kombe la taswa kanda ya kaskazini ambao...
  • nape mkoani shinyanga
    NAPE AUNGURUMA SHINYANGA, AWAZOA WAWILI KUTOKA CHADEMA Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshika...
  • MH. KINANA AWATAKA WANANCHI BAGAMOYO KUJIUNGA NA MIFUKO YA AFYA YA JAMII
     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwapungia mkono wakazi w...
  • MANCHESTER UNITED KUENDELEA MBELE UEFA
    MANCHESTER UNITED YAFANYA MAAJABU OLD TRAFFORD JANA DHIDI YA OLYMPIACOS Timu ya soka ya huko England Manchester united imeweza kufanya ma...
  • (no title)
    Haya sasa ligi ya England ufunguzi vigogo watatu man u, arsenal na liverpool uwanjani. Baada ya mapumziko ya siku kadhaa sasa ligi kuu ...

About Me

My photo
nassor amour
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2016 (2)
    • ►  April (2)
  • ▼  2015 (1)
    • ▼  March (1)
      • SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra.
  • ►  2014 (7)
    • ►  October (1)
    • ►  September (1)
    • ►  August (3)
    • ►  March (1)
    • ►  February (1)
Powered by Blogger.

Labels

  • habari kitaifa
  • igunga
  • michezo
  • news

Blog Archive

  • ►  2016 (2)
    • ►  April (2)
  • ▼  2015 (1)
    • ▼  March (1)
      • SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra.
  • ►  2014 (7)
    • ►  October (1)
    • ►  September (1)
    • ►  August (3)
    • ►  March (1)
    • ►  February (1)

Recent Posts

Download

 
  • Labels

    • habari kitaifa
    • igunga
    • michezo
    • news
  • Text Widget

Copyright © Igunga news | Powered by Blogger
Design by FThemes | Blogger Theme by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com | NewBloggerThemes.com