Haya sasa ligi ya England ufunguzi vigogo watatu man u, arsenal na liverpool uwanjani.
Baada ya mapumziko ya siku kadhaa sasa ligi kuu England imerudi kwenye nyasi za viwanja mbalimbali nchini humo zikihusika timu kubwa(vigogo) na hata timu ndogo sasa ratiba kwa mechi za kesho hii hapa
14:45 Man United v Swansea [Old Trafford]
17:00 Leicester v Everton [King Power
Stadium]
17:00 QPR v Hull [Loftus Road Stadium]
17:00 Stoke v Aston Villa [Britannia Stadium]
17:00 West Brom v Sunderland [The
Hawthorns]
17:00 West Ham v Spurs [Boleyn Ground]
19:30 Arsenal v Crystal Palace [Emirates
Stadium]
Jumapili Agosti 17
15:30 Liverpool v Southampton [Anfield]
18:00 Newcastle v Man City [St. James'
Park]
Jumatatu Agosti 18
22:00 Burnley v Chelsea [Turf Moor]
0 comments:
Post a Comment